- Kupata kiamsha kinywa ndani ya nusu saa au saa moja baada ya kuamka, haswa kama unajisikia uchovu. Ni muhimu kula kitu ili kutuliza mzunguko wa damu na sukari.
- Punguza unywaji wa kahawa au vinywaji vingine vyenye kafeini kwa kula chakula kama mbadala wake.
- Kunywa maji kwa wingi; Maji katika mwili huchukua asiliia 60 hivyo ni vyema unywe lita mbili za maji kila siku. Maji ya matunda(juice) pia ni mazuri lakini sio chai au kahawa.
- Jitenge na matumizi ya simu wakati wote mchana, pumzisha macho kiasi. Usilale na simu yako karibu au kuiwasha simu kuwa ndio kitu cha kwanza unafanya asubuhi.
- Lala mapema mara tatu au nne kwa wiki. Si lazima ulale moja kwa moja, unaweza kusoma kitabu au kufikiria jinsi siku yako ilivyokuwa.
by Innocent IRAKOZE
vizuri xana kaka
RépondreSupprimer